First Jamiiforums Billionaire

First Jamiiforums Billionaire

Mabilionea hawasemi hela ndio zinasema hata wasipo jitambulisha utawajua tu, kila la kheri.
 
By nduka:

Mkuu uwezekano wa kupigwa ngeta
ulimalizika toka nilipofikia kuwa
milionea miaka tisa iliyopita. Ninatumia
zaidi ya milioni sita kwa mwezi kwa
ulinzi binafsi ikifikia mahala wapiga
ngeta wanaweza kunisogelea itabidi
nijitizame upya.

By me:

Aisee!!!!!!
 
Nazani sababu sijitangazi, JF ishakuwa na billioneir toka me najisajili for the first time💵💵💵💵
 
Back
Top Bottom