First Ladies...of Fashion that Is

First Ladies...of Fashion that Is

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,499
From Vera Wang, to Alexander McQueen, Carolina Herrera, to Tom Ford, Ralph Lauren and many more, they killed it all, and deserve a trophy.


BBuCVGi.jpeg
BBuDRHw.jpeg
BBuD0VR.jpeg
BBuDzoA.jpeg


Cc Polisi wa fashion Heaven Sent 🙂
 

Attachments

  • BBuDPxQ.jpeg
    BBuDPxQ.jpeg
    51 KB · Views: 112
Oooh miss FP hata sikuiona hii mwee. Yani nafungua hizo picha hata hazifunguki mara ya ngapi sijui, au ni hii net yetu ya busokelo teh. Maybe zitafunguka nikiamka
 
  • Thanks
Reactions: kui
Eeeh zimefunguka (ilibidi nipande juu ya mti teh). Ila tbh Michelle ameitendea haki mno fashoon. Tutammiss si kidogo

Eti juu ya mti, yeah right!..lol
Sema satellite dish yako ilileta mushkeli kdg.

Ila ukiwa tall bana rahaaa (kama twiga vile lol)
My favorite (L)
View attachment 380575,


Acha tu ukiwa mrefu raha sana, unapendeza kwenye vitu vingi. Tutam miss MO na fashions zake si kidogo.
 
mbona Mama Salmah alikua anatokelezea au alikua sha....les.s
Mkuu zile zilikuwa zama nyingine, zama za sasa ni kupunguza matumizi. Lakini first lady wetu ni mzuri natural pia anapendeza.
 
Bhana Bhana Bhana.
Kuna yule anaitwa Ginna Torres amecheza kama Jessica Pearson kwenye TV show ya SUITS.
Anajua kuvaa mpaka kero. Hajawai kukosea na hajawahi kurudia.
Ukiwa na mke anayevaa vile lazima utakuwa na closet toka Ubungo mpaka Mlandizi.
Yani huyu mama ametisha.
 
Bhana Bhana Bhana.
Kuna yule anaitwa Ginna Torres amecheza kama Jessica Pearson kwenye TV show ya SUITS.
Anajua kuvaa mpaka kero. Hajawai kukosea na hajawahi kurudia.
Ukiwa na mke anayevaa vile lazima utakuwa na closet toka Ubungo mpaka Mlandizi.
Yani huyu mama ametisha.
Sasa na kapuku nae eti anataka avae hivyo, unajikuta unapata barua ya kustaafu kibanda huna.
 
Back
Top Bottom