Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kwa haraka haraka ukitaka kuvaa vile kila siku unatakiwa uwe unaingiza arround $100,000 kwa mwezi.Sasa na kapuku nae eti anataka avae hivyo, unajikuta unapata barua ya kustaafu kibanda huna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haraka haraka ukitaka kuvaa vile kila siku unatakiwa uwe unaingiza arround $100,000 kwa mwezi.Sasa na kapuku nae eti anataka avae hivyo, unajikuta unapata barua ya kustaafu kibanda huna.
Unawahi mitumba ya Manzese kule kuna Calvin Klain dress unapata kwa 50,000 T.sh.Kwa haraka haraka ukitaka kuvaa vile kila siku unatakiwa uwe unaingiza arround $100,000 kwa mwezi.
Mtumba tena?Unawahi mitumba ya Manzese kule kuna Calvin Klain dress unapata kwa 50,000 T.sh.
Nani atajuaje?Mtumba tena?
Hapana. Wanatakiwa kuchukua OG.
Nani atajuaje?
Absolutely mkuu.Hata wasipojua. You create and maintain your own class.
Apdate jf zitafungukaa!Oooh miss FP hata sikuiona hii mwee. Yani nafungua hizo picha hata hazifunguki mara ya ngapi sijui, au ni hii net yetu ya busokelo teh. Maybe zitafunguka nikiamka
Zilishafunguka mwayaApdate jf zitafungukaa!
Namjua,sana_uyo_mama_mkuu.Bhana Bhana Bhana.
Kuna yule anaitwa Ginna Torres amecheza kama Jessica Pearson kwenye TV show ya SUITS.
Anajua kuvaa mpaka kero. Hajawai kukosea na hajawahi kurudia.
Ukiwa na mke anayevaa vile lazima utakuwa na closet toka Ubungo mpaka Mlandizi.
Yani huyu mama ametisha.
Namjua,sana_uyo_mama_mkuu.
Ginna_torres,ni_level_nyingine.
Very_charming_and_talented_kwenye_fashion,hajawahi_kukosea.
Hata_huyo_michelle_obama_haoni_ndani.