Eeeh zimefunguka (ilibidi nipande juu ya mti teh). Ila tbh Michelle ameitendea haki mno fashoon. Tutammiss si kidogo
Vichukue...!!navyopenda vigauni........dah
Eeeh zimefunguka (ilibidi nipande juu ya mti teh). Ila tbh Michelle ameitendea haki mno fashoon. Tutammiss si kidogo
atatumbuliwa.Indeed, I wish first ladies wetu wa Africa wangekuwa wanajiachia hivi.
Acha tu yani hapa vimenichanganya vibaya mno.Vichukue...!!
mbona Mama Salmah alikua anatokelezea au alikua sha....les.satatumbuliwa.
Mkuu zile zilikuwa zama nyingine, zama za sasa ni kupunguza matumizi. Lakini first lady wetu ni mzuri natural pia anapendeza.mbona Mama Salmah alikua anatokelezea au alikua sha....les.s
Sasa na kapuku nae eti anataka avae hivyo, unajikuta unapata barua ya kustaafu kibanda huna.Bhana Bhana Bhana.
Kuna yule anaitwa Ginna Torres amecheza kama Jessica Pearson kwenye TV show ya SUITS.
Anajua kuvaa mpaka kero. Hajawai kukosea na hajawahi kurudia.
Ukiwa na mke anayevaa vile lazima utakuwa na closet toka Ubungo mpaka Mlandizi.
Yani huyu mama ametisha.