Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Inawezekana ujue hakuna accoung sahihi za akicheat na watu gani but kuna barua kabsa ipo jfk ana mwambia Jack hajali kuhusu anacho fanya ila she must be careful for the sake of their children and the presidency.Hivi ni kweli kuwa Jackie alitoka na Secret Service?!, au mwingine?
Usikute it was out of frustrations from John. Lakini na yeye alipita haswa with the Kennedy family on top of their family tragedies. Unless kama alitulia after her second marriage.
Na hapo she went to europe for vaccation alikaa kama miez mbili. So zika tokea skendo flan flan huko. Wote walikuwa wana juana tu.