Inawezekana ujue hakuna accoung sahihi za akicheat na watu gani but kuna barua kabsa ipo jfk ana mwambia Jack hajali kuhusu anacho fanya ila she must be careful for the sake of their children and the presidency.Hivi ni kweli kuwa Jackie alitoka na Secret Service?!, au mwingine?
Usikute it was out of frustrations from John. Lakini na yeye alipita haswa with the Kennedy family on top of their family tragedies. Unless kama alitulia after her second marriage.
Jackie alilala na Onassis mumewake akiwa rais, alikwenda Greece bila mume wake na Kennedy alihudhuria yatatokea. Aliwaonya walinzi wasimruhusu Jackie kuingia kwenye Yatchie ya Onassis lakini ilishindikana na mzigo uliliwa.
Kibaya zaidi alikubali kuolewa na Onassis baada ya John kufariki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jackie alilala na Onassis mumewake akiwa rais, alikwenda Greece bila mume wake na Kennedy alihudhuria yatatokea. Aliwaonya walinzi wasimruhusu Jackie kuingia kwenye Yatchie ya Onassis lakini ilishindikana na mzigo uliliwa.
Kibaya zaidi alikubali kuolewa na Onassis baada ya John kufariki
Hands down kwa Michelle she was just a modern first lady.Yaani ile Elegance si mchezo aseh!
Halafu she was fluent in French too na their first trip to Europe, She, became the talk of town.
Lakini at least aliolewa na mtu mwenye jina.
Michelle nae ka represent kwa kweli.
She did her best as the first black first lady. [emoji106]
Umenikumbudha Laura, japo mama mkwr wake Babra was loved more as a first lady than her.Melaine has the beauty hata mimi ninampenda. Laura Bush alikuwa mama wa nyumbani design
Ila Michelle mbona media zilikuwa zina muelewa tuu labda zile right wing media. Ila Bado hakupata scrutiny sanaa.Pamoja na haters kumwandika vibaya kwenye media kutokana na rangi yake Michelle had a classy. Jackie alitoka kwenye elite family, alikuwa na exposure na kwa wakati ule alikuwa msomi
Melaine has the beauty hata mimi ninampenda. Laura Bush alikuwa mama wa nyumbani design
Pamoja na haters kumwandika vibaya kwenye media kutokana na rangi yake Michelle had a classy. Jackie alitoka kwenye elite family, alikuwa na exposure na kwa wakati ule alikuwa msomi
Its reasonableHivi sijui kwa nini ma first lady wakijichanganya sana wanakuwa unpopular.
Halafu Hillary aliweka wazi kabisa asingekuwa mama wa nyumbani wa kukaa na ku bake cookies! [emoji2]
Hata wazungu wanakubali kuwa baada ya Jackie na JFK the next matching couple was Michelle and BarrackLaura naona mpaka Kesho, design mama wa nyumbani Ile mbaya..
Ile class and elegance halafu was so perfect kwa the handsome J. F. K.
They were a perfect couple ukitoa infidelities za John.
Lakini too bad they were cut short.
For meHata wazungu wanakubali kuwa baada ya Jackie na JFK the next matching couple was Michelle and Barrack
She was elegent, JFK alikuwa kwenye issue yyte ya kisiasa ana kuwa naye kwa kuwa she was a huge attraction. Kuna sku jfk alialijwa kwenye ziara official ufaransa, walivo rudi JFK akasema "i am just the man who accompanied Jackie Kennedy to France"
Watu walijaa kwenye kila event just to see
her..
..Aliolewa na yule jamaa ili walio kuwa wana muwinda wamwache. Kumbuka RFK alipo uwawa 1968 familia haikuwa safe anymore. She dd that for safety na to get away from any memory of jfk.
Ooh Nancy na Ronald Reagan ndiyo ilikuwa kule kipindi Cold War ilikuwa kwenye pick time na Urusi kulikuwa na Arina na Mickhail GorbachevFor me
Jackie na Jfk siwapi credit kwakuwa walikuwa wanafekisha mambo.
I liked more Nancy and Ron! Yaan nadhani hawa ndio my relationship goals
Nadhani ndo ana fuata Michelle and Barry.
Sasa Joe naye alikuwa ana mcheat mana ake wa JFK bila kificho.Hahah!, nimependa hii, "I'm just a man who accompanied Jackie to France" [emoji28]
She was a Diana of that time.
Lakini sijapenda the way Joe treated her, wanasema he was so controlling, he wanted every thing to be perfect for his son, kwa hiyo Jackie ndo alikuwa anakuwa victim. Eti mpaka gauni ya Jackie ya harusi lilikuwa chaguo la Joe.
She basically married a family, not only John.
Hili tamko pia liliwaudhi mama wa nyumbani walisema “ who does think she is”?
Enheeee! Aaah Sky uko fireee! [emoji1]Ooh Nancy na Ronald Reagan ndiyo ilikuwa kule kipindi Cold War ilikuwa kwenye pick time na Urusi kulikuwa na Arina na Mickhail Gorbachev
Inawezekana ujue hakuna accoung sahihi za akicheat na watu gani but kuna barua kabsa ipo jfk ana mwambia Jack hajali kuhusu anacho fanya ila she must be careful for the sake of their children and the presidency.
Na hapo she went to europe for vaccation alikaa kama miez mbili. So zika tokea skendo flan flan huko. Wote walikuwa wana juana tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jfk was furious, not bcoz she cheated but because she was doing it so obviously.
She under estimated the power of women, lakini Hillary tangu amshambulie Barrack kwenye ile first campaign ninamuona kama paka, she can attack with teeth and nailsHahaha, acha tu. Wanawake waliboreka Ile mbaya na hii statement.
No wonder wamemuwekea grudge mpaka kesho. Imagine the very first woman to run for president na wala hakuwa popular ki hivyo sana kwa wanawake..
Mmmh! Ile familia ilikuwa ina majanga mwenzio hata sjuagi kwa nini.Aseeh!, Interesting..
Why her thou?!!, if they had already assassinated JFK and RFK?!