First Lady anaestahili pongezi ni Melaine Trump

Ndiyo maana Mr Marckel mume wa Angela Marckel wala hasikiki.
 
I can imagine Barbara na Laura wote mrs Bush ma wote walisha wahi kuwa First Ladies
Wanapenda sanaa.
Eti baby Bush alimwambia mke wake you are the best first lady in american history, mama ake akamnyooshea kidole akamwanbia weweee! [emoji23].

Kwa hiyo bush ikabid aseme kuna ma best first ladies wawili mama ake na mke wake.
 


Hahahah!, Khaa!!
Na mzee nae kumbe alikuwa ana cheat. Mweeh!![emoji3]

Ama kweli, the real MVP!.[emoji23]

Lakini, hands down kwa Joe aseh!

He's the Source and the Rock of the Kennedy's Dynasty.
The American Royal Family.
 
Duh, kama ilifikia point ya ku fake?!

They were done!

Lakini mtoto wa John Jr. nae uzuri akaja kuwa very handsome and popular with his model wife. But they were cut short too..ile familia!
Yes aaah
The man was loved, ila hasa by ladies [emoji23]

Kifo chake hakikuwa kizuri kwa kweli, familia ilikuwa una tragics kweli kweli.
 
She under estimated the power of women, lakini Hillary tangu amshambulie Barrack kwenye ile first campaign ninamuona kama paka, she can attack with teeth and nails

She's all about Power, she can do anything to earn it. Hillary sio mchezo aseh!
Mbaya mwingine wa Putin..
 
Ndiyo maana Mr Marckel mume wa Angela Marckel wala hasikiki is
Eeh sasa ndio inavo kuwaga, au mume wa my WCW Theresa May. Ana lay low

Mi mwenyewe mke wangu akiwa Rais kwa kweli ntakuwa hata sionekani. There is no pride in being husband of the president jaman.
 
Hahahah!, Khaa!!
Na mzee nae kumbe alikuwa ana cheat. Mweeh!![emoji3]

Ama kweli, the real MVP!.[emoji23]

Lakini, hands down kwa Joe aseh!

He's the Source and the Rock of the Kennedy's Dynasty.
The American Royal Family.
Joe was the man. Ndio akisaidia hata wizi wa kura za Illinois.
Halaf inaonekana na wewe kama wamarekani wenzio wote una wapenda sana kina Kennedy [emoji1]
 
She's all about Power, she can do anything to earn it. Hillary sio mchezo aseh!
Mbaya mwingine wa Putin..
Kwa mwanamke haitakiwi uwe power hungry, inabid uwe na charisma tuu pia the feminine part of you isiondoke hata wanaume wengi wata kupigia.
We na masuti yake hillary yale anaonekana mgumu kama mwanaume. Haiwavutii watu kukuchagua.

Sexism ime apply hapo hehehe
 
Barbra si ndio wale classy ladies wa enzi hzo. Pia alikuwa ana progran yake hiyo ya literacy kwa watoto.
Babra alipendwa saana.

[emoji23] alisema Jeb ni mpole mno eti ajitahid kujikaza kdogo. Na hampendi Trump mpaka kesho.

Haha, Barbara alimchukia Trump, you could tell on her face! [emoji3]
 
Haha, Barbara alimchukia Trump, you could tell on her face! [emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Na familia ya Bush yoote ilikuwa jwa Clinton.
Trump asinge pita bila ku wa bash kina Bush. Ni siasa tu hizo.

Bush pekee alo msapit Trump ni mtoto wa Jeb a aitwaye George P Bush, yeye alisema ana msapot jamaa. Na yeye mwaka hui alikuwa ana fight for Re election kama Land Commissioner wa Texas. Trump akasema namsapot he is loyal mchizi akapata nomination tena kirahisi tuu
 
Wanapenda sanaa.
Eti baby Bush alimwambia mke wake you are the best first lady in american history, mama ake akamnyooshea kidole akamwanbia weweee! [emoji23].

Kwa hiyo bush ikabid aseme kuna ma best first ladies wawili mama ake na mke wake.

Hahah!
 
Mh!, Iceman Maria mzuri jamani! [emoji3]

Lakini Arnold nae, kwenda kuzaa na housekeeper?!
Halafu mtoto Anold Mtupu..
Hahahah ile kesi ilinichekesha jamaa alimkataa mtoto wee .
Mtoto akafika two yrs. Arnold huyu hapaa hadi aibu kukataa.
Alizingua naye.teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…