First nuclear in 2022..sgr to be electrified thereafter

hydroelectric at Stiegler’s Gorge dam on the Rufiji river will produce
2,100MW

5315.jpg

Which year????...What of this natural gas that you have

sent from iPhone 7
 
tz ni maneno mengi bila matendo....hawa jamaa niliwadharau kitambo...wako wapi hao wahabeshi? wanatukimbiza kweli kweli..
 
Alafu wanajenga electric train na wako na 1300 MW installed. With little action to increase energy output

sent from iPhone 7
 
Alafu wanajenga electric train na wako na 1300 MW installed. With little action to increase energy output

sent from iPhone 7
hehe...ni ile ujinga ya kujifananisha na Kenya....eti wameona kenya ni diesel sasa wao wanataka electric trains na hawana stima...lol! jamaa funny sana...ndio nasema kama kungekua na ethiopian forum, we would be competitive...sio watu wa tuta, tuta, tuta
 
True...kwanza magufuli ni enemy of development

sent from iPhone 7
 
Alafu wanajenga electric train na wako na 1300 MW installed. With little action to increase energy output

sent from iPhone 7
Kuna project tatu zinaendelea za umeme wa gas.
Kinyerezi 1,2 and 3.
Kama hujui kinachoendelea TZ uliza ufundishwe. Halafu nimekuwekea mpango ww mpaka 2025.
BTW kinyerezi 2018 itakuwa tayari.

Kuhusu dam tayari wataalam toka ethiopia wamekuja na tupo katika process ya kuanza ujengaji wa bwawa hilo.

Kuhusu umeme wa nuclear hiyo kwetu ni option ya mwisho kabisa. Halafu unatakiwa ujua
Tanzania kuna Gas, Coal, Wind, water.
Tofauti na Nuclear ambayo ni very dangerous tupo na hifadhi kubwa ya coal.
Vilevile Tanzania ipo na hifadhi kubwa ya uranium ni moja ya nchi 10 duniani zenye hifadhi kubwa ya uranium.
 
Projects hizo hazina majna

name the projects and tell us the capacity....sio kusema tukonazo....kenya naeza nikakutajia
COAL=LAMU Coal POWER PLANT 1050MW
WIND=LAKE TURKANA 310mw
GEOTHERMAL=OLKARIA II 210MW
NUCLEAR=1000MW
SOLAR=MOST ARE FROM PRIVATE COMPANIES AND ARE ALREADY COMPLETE..eg Two Rivers
 
Tutanunua kwenu. Jengeji nyuklia huko kwenu sisi tutanunue kwa sababu umeme wa atomic ni very powerfully
Umeme ni umeme tu no Matter produces by using coal or hydro or Nuclear what is matter the capacity of generator
 
hydroelectric at Stiegler’s Gorge dam on the Rufiji river will produce
2,100MW

5315.jpg

i have never seen such project everywhere, Where did u get it, can u share with us the link of where you saw it
 
Alafu wanajenga electric train na wako na 1300 MW installed. With little action to increase energy output

sent from iPhone 7
We have 1745MW total capacity, Kenya has only 2030MW total capacity, there is no big gap btn Us when it comes to issue of Energy, Ethiopia can bragging but nat kenyans
 
Kenya 2600

sent from iPhone 7
 
Back
Top Bottom