First pregnant

First pregnant

kamcute

Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Habari za asbh docs .. am pregnant three weeks now. i consumed metronidazoles ( flagily ) before knowng am pregnant. Currently am.experiencing lower abdominal pain too. Please advice me.. can flagily possubly hurt or endanger her.. and why am i having this pain.. Is that normal or i should go to the hospital . Thank u in advanx
 
Pole kwa maumivu....

Kwanza nikwambie kuwa Flagyl bado haijathibitika kuleta madhara kipindi cha mimba hata wakati wa kunyonyesha hii ni kutokana na utafiti uliofanyika mpaka sasa.

Pili..pamoja na kutothibitika kwa madhara ya flagyl madaktari wengi hawashauri kunywa flagyl kipindi cha mimba (hasa mimba changa) maana hiyo dawa ina uwezo wa kupita kwenye placenta na kukifikia kiumbe kilicho tumboni pamoja na kwamba haijaonyesha kuwa na madhara kwa mtoto aliyeko tumboni.

Mwisho nakushauri usiendelee kutumia hiyo dawa ila sidani kama itakuwa imeleta madhara na pia ukamuone daktari na umjulishe juu ya maumivu yako ya tumbo baada ya kutumia hiyo dawa pia usitumie dawa bila ushauri wa mtaalamu wa afya hasa kipindi hiki cha ujauzito.

Siku njema.
 
mkuyat .. thank u.. was shocked wat am experiencin n couldnt check the spells ... bt ol in ol . Thank u indeed.
 
Last edited by a moderator:
Muone Nikiwe wa isidingo, nae anatarajia kwa Mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom