fortunate_goustone Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 113 Reaction score 26 Sep 2, 2013 #1 Kwa wale wa mwaka wa kwanza SAUT hebu tufahamiane kidogo tuelezane jinsi ya kwenda kuyaanza haya maisha ya kitabu upya haswa suala la malazi...... francis.goustone88@yahoo.com
Kwa wale wa mwaka wa kwanza SAUT hebu tufahamiane kidogo tuelezane jinsi ya kwenda kuyaanza haya maisha ya kitabu upya haswa suala la malazi...... francis.goustone88@yahoo.com
N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 430 Reaction score 61 Sep 2, 2013 #2 hostel zipo kibao,sema ndo uwahi na hela yako ili upate za karibu kidogo na chuo,
F flyn ryder JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 656 Reaction score 86 Sep 2, 2013 #3 Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio
Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,132 Sep 2, 2013 #4 flyn ryder said: Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio Click to expand... Ni kweli kiongozi. Tena wakifika huko chuoni utakuta kila mtu na lwake!
flyn ryder said: Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio Click to expand... Ni kweli kiongozi. Tena wakifika huko chuoni utakuta kila mtu na lwake!
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,884 Reaction score 8,956 Sep 2, 2013 #5 flyn ryder said: Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio Click to expand... sana kaka zimekuwa nying mno
flyn ryder said: Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio Click to expand... sana kaka zimekuwa nying mno