fortunate_goustone
Senior Member
- May 5, 2013
- 113
- 26
Kwa wale wa mwaka wa kwanza SAUT hebu tufahamiane kidogo tuelezane jinsi ya kwenda kuyaanza haya maisha ya kitabu upya haswa suala la malazi...... francis.goustone88@yahoo.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kiongozi. Tena wakifika huko chuoni utakuta kila mtu na lwake!Nyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio
sana kaka zimekuwa nying mnoNyinyi SAUT naona thread zote ni zakwenu mnataka kujuana..si mtafute moja tu sio kila mtu anaanzisha ya kwake mada hio hio