Kipo musom nakifahm coz nmeishi hukoHabari wanajamvi,
Mimi ni mmojawapo wa wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na chuo cha CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MUSOMA, kozi Diploma in clinical medicine, kwa yeyote anayekifahamu mahali kilipo na issues za kitaaluma anijuze na pia kama kimesajiliwa na wizara ya afya anajulishe.
Nawasilisha
karibuni [emoji120]
Kiko pia ila ujipange fedha maana kila kitu kwa mwanafunzi
Apana karibu tuKipo mbali kutoka Musoma stand?
Habari naomba mawasiliano ya Moja ya walimu wa chuo Cha MUSOMA CLINICAL OFFICER TRAINING CENTERKipo musom nakifahm coz nmeishi huko