ifm wao ni pesa sio...udom hawapendi pesa na udsm wadau?
Naenda kuwa pastor pale
mmtawakuta continuing students baadhi wanawaaproach.muwe makini mana wengi wana wapenzi zaidi ya mmoja ndani ya chuo.we waweza kua wa kumi afu ukajishebedua kua wapendwa.wadogo zangu watajifanya wanawapa ushauri wa kimasomo.muwe makini na hawa mafedhuli.