BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
kkwa binadamu wengi hasa vijana damu huchemka.wengi mmetoka kwenu mmewaacha wapenzi ama wake.na kama unataka uhusiano kwa fresh students kua makini sana.unakuta wiki ya orientation kina dada ameshagawa pipi hata hamjajuana tabia na afya.sisi sio wanyama pori tujiheshimu.