first year udsm mbadilike.....

first year udsm mbadilike.....

Daaa dogo kazingua kinoma hapo...!!

Mkalishe chini, umrudishe kiumeni huyo kinda, bado hajayajua maisha.. hapo aache thiatha,arudishe hizo pesa alizopewa na huyo jamaa...

nshamwambia anakataa anasema eti kashazila if pocbo nimpe laki 2 amrudishie ssa me nkaona xo kesi ntatafta tu mwengine.
 
pole sana ulidhani 2nakuwa mafala daima? Mbona ulipokuwa ukipewa za vocha ulikuwa unapokea? Chizi kweli wewe me nimeuza tena pei nzuri kilo 3 kash na semister kalipaaa sio hapa mnajishebedua shebedua 2.

ni vizuri kwa afya ya akili yako
 
tata mvoni....

Unafanya makosa makubwa sana...
Dawa ya Huyu dogo (mtukanaji) ni ndogo sana, tusimpe ushirikiano kabisa,ukimkuta sehemu yoyote amepost kitu, hata kama kikiwa constructive, get your fingers typeless, pita kama hujaona kitu, usimquote wala kureply, a time will reach that he'll learn to be wise....

ha ha ha ha ha kiuno bila mfupa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Pesa,pesa plus tamaa.
Dogo nimemsisitiza sana akipata chumba anipe taarifa ,maana nimemtafutia Mtu hapo chuo,lakini kafanya kinyume.....
Nilipata mtu wa kumsaidia kufuatilia Bodi ya Mikopo na jamaa kamuangaikia sana mpaka nimeweza pata namba ya afisa mikopo . Kanichanganya sana
sijui nimpooze vp kijana wa Watu.
Naitafuta adhabu ya kumpa huyu kijana siioni ni kama nitamtesa.
Aaaaaah

Hahahhah kakukomoa safi sana......hihihi
 
Unajua watu wanafikiri kubebana ni kulala kitanda kimoja tu.

Ni kuishi kama ndugu na kusaidiana. Kuna leo na kesho, huwezi jua utapata tatizo gani ukiwa chuoni. Bila kuwa na marafiki au watu wa karibu wanaokuelewa utateseka hasa kwa hapa UDSM.
 
Pesa,pesa plus tamaa.
Dogo nimemsisitiza sana akipata chumba anipe taarifa ,maana nimemtafutia Mtu hapo chuo,lakini kafanya kinyume.....
Nilipata mtu wa kumsaidia kufuatilia Bodi ya Mikopo na jamaa kamuangaikia sana mpaka nimeweza pata namba ya afisa mikopo . Kanichanganya sana
sijui nimpooze vp kijana wa Watu.
Naitafuta adhabu ya kumpa huyu kijana siioni ni kama nitamtesa.
Aaaaaah


Duh. Pole sana. Tatizo wanatanguliza pesa mbele. Wanasahau utu. Wanafikiri kumbeba mtu ni kukaa naye kitanda kimoja tu. Kuna maisha mengi yanaplay part yake hapo. Hasa kwa ambao hawana mkopo wanakurupukaga sana.

Inabidi wawe makini hawa vijana
 
Back
Top Bottom