first year udsm mbadilike.....

ni noma...mimi sipendi kweli kulala na.mtu ila last year ikabidi nimsaidie dada flani hivi kwa imani kwamba dis year Mungu ataniona tu.thnx God nimepata chumba..ni majangaaaa
 
ni noma...mimi sipendi kweli kulala na.mtu ila last year ikabidi nimsaidie dada flani hivi kwa imani kwamba dis year Mungu ataniona tu.thnx God nimepata chumba..ni majangaaaa


Safi sana sis gladys...
Nimekapenda kamoyo kako, sema basi tu! tayari umeshapata chumba, kama usingepata, ningekubeba buuure...
 
Last edited by a moderator:

Mbegesa
 
TANGAZO

kwa kijana yeyote wa first year (national institute of transport) aliye tayari anitafute tupange ghetto moja, pande za mabibo!

sharti awe kutoka mwanza!

nitumie pm tuongee!
 
duh!!!!!! nadhani first year hawajajua changamoto za hapa chuo, humba tu wanauza bei wanasahau na wao mwakani wapo mzigoni kuomba kubebwa, ngoja watajionea wenyewe, pole ndugu yangu tafuta tu room nyingine utakaa kwa amani tele.
 
kwakweli first year tuwe wastaarabu. me mwenyewe nimewasaidia madogo wengi sana lakini cha kushangaza leo hii ukiwapigia simu haawapokei wegine tumekubaliana mtaani kuwa tutakaa wote lakini ghafla wamenibadilikia. ila wakumbuke mwakani mambo yao yatakuwa magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…