First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi"

totoz kitaa cha corner bar kwa wiiingi,likianza kuisha ndo mzuka wa kusoma unakuja,wengine tukiwa na mapene kitabu hakipandi,nitatumia hadi ziishe aisee
 
Pole sana mdogo wangu. Najua hiyo thread yako inatokana na ukali wa maisha tulionao watanzania. Nakushauri kuzingatia yafuatayo: 1. Hiyo hela ni lazima utoe ili ukalipie makazi(accomodation) unayo kaa, either hostel au kama umepanga. 2. Kama hostel ipo mbali na madarasa, nauli itatoka hapohapo. 3. Student union fee inatoka hapohapo. 4. Hela inayobaki ndiyo uipigie hesabu ya maisha mengine kwa miezi mitatu(3) itategemea hiyo laki 7 au 6 umepewa kwa miezi mingapi. 5. Piga mahesabu yako kwa siku utatumia kiasi gani (Kuanzia chai, lunch, dinner). Hivyo ushauri wangu kwako kuwa makini na pesa za chuo, hakuna chuma ulete wala nini , ni namna mwenyewe utakavyo jipanga. Kwahiyo badala ya kufurahia tafakari kwa kina niliyo kuambia. Nasisi yalitukuta enzi zetu, tukawa tunashindia mikate na chai ya rangi pale mabibo hostel. Wakina dada ndiyo waka dada poa ili maisha yaende. Think twice.
 
duuh hiyo ela inaisha kama upepo ukitaka uikomeshe isiishe ovyo ukipewa tu katoe sadaka hapo kwishnii
 
Miaaaaaaaaa
 
First year full kujidanganya hahahahaaha karibuni kwenye ulimwengu wa fikra pevu
 


Mbona hela kidogo sana hiyo kwa Dar
 

Halafu hawa hawa utawasikia wanaandamana kupinga ufisadi.
 
Thanks alot bro 4 this advice.. chochote kingine cha kuniongeza? mi bado 2 weeks niingie UDSM apo
 

dogo izo pesa ndogo saaana yani..nyng utaziona wik za kwanza...ktabu kikianza kuchanganya ..,aisee,pesa hua znachomoka 2..hasa fotokopy za madesa na handouts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…