Geofrey_GAMS
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 496
- 229
du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi watupa home, mana hali ya maisha ni ngumu.BOOM is BOOM. maisha bora kwa kila mwanafunzi/ usitafute demu, watamaliza zote, mana nywele tu za kimasai kusuka 15000 na kila baada ya siku 3. saluni almost kila siku. skin jeans shoping kila jmos. msosi wao chips mayai, kuku. simu anataka blackberry. waambie wazazi kijijini wakutafutie mke.
hiyo lak 7 inatakiwa itumike kwa mda gan