First year wote msisahau kuwa makini na UKIMWI

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
720
Reaction score
582
Jamani ndugu zangu ningependa kuwakumbushia kuwa msicheze peku Huko chuoni... kuna watoto wa mama salma.. Naongea hili baada ya kushuhudia mmoja wa wana chuo pale tumaini campus ya mwenge kujinyonga baada ya kugundilika ameambukizwa virusi na mmoja ya mwanachuo mwenzie ambaye alikuwa na mahusiano naye.

Kiukweli huyo dada ameumbika na amejaaliwa Kila aina ya sifa na anazotakiwa kuwa nazo mwanamke.. lakini ndo hivyo kijana mwenzetu akaingia kichwa kichwa. kwa kujiamini aslimia mia.

Nb: usimwamini mtu yoyote tumekutana kimjini Mjini Tuachane kimjini mjini.
 
Nimekuelewa brooooooooooo big up xna daaah nita take care na yawezekana kutojihusisha pia...........
 
Wanakatabia kakushawsh aina haja ya kia2. .af mwsho wa cku, una graduate na v2 viwil,. . Aisee chand inipge tena nahuku nipoteze duh!
 
Ahahahah dahhh na vyuon kuna ngono hatari halafu wengi hawatumii kinga. Then ni rahs kushawishika
 
Hawa watu huwa wanajitahidi first semister wakati bado wanayakumbuka maneno waliyoambiwa kwao. Baada ya semister one kuisha wameshazoea chuo wanasahau kabisaaaaaaa......!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…