Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 720
- 582
Jamani ndugu zangu ningependa kuwakumbushia kuwa msicheze peku Huko chuoni... kuna watoto wa mama salma.. Naongea hili baada ya kushuhudia mmoja wa wana chuo pale tumaini campus ya mwenge kujinyonga baada ya kugundilika ameambukizwa virusi na mmoja ya mwanachuo mwenzie ambaye alikuwa na mahusiano naye.
Kiukweli huyo dada ameumbika na amejaaliwa Kila aina ya sifa na anazotakiwa kuwa nazo mwanamke.. lakini ndo hivyo kijana mwenzetu akaingia kichwa kichwa. kwa kujiamini aslimia mia.
Nb: usimwamini mtu yoyote tumekutana kimjini Mjini Tuachane kimjini mjini.