First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

jaman admission form tunapataje?? mi nipo project planning and community development.
 
jaman admission form tunapataje?? mi nipo project planning and community development.
Subiri muda ukifika utapata MAELEKEZO ya namna ya kupata admission letters,, nadhan kuanzia week ijayo mambo yatakuwa okay,,, zimeshatoka
 
mimi nitakuwepo mjengoni pale college ya informatics kupiga "bachelor of science in telecommunication engineering".

karibuni tufahamiane wakuu.

Umechaguliwa chuo cha kata umefurahi kweli ww hamnazo kabisaaaaaaa
 
#Kikoozi
Kama we hukupata Bahati acha kukatisha madogo tamaa acha kabsa haifai hata kidogo,hujui purpose yao kwa Mungu.We kma huna Bahati kaa pembeni.

Hongeren sana wadogo zangu asitokee mtu kukushaul ujinga hyo koz uliyopangiwa ndio ndoto zako zilipo huwez jua keep on touch guys uckate tamaa ila pia dunian kuna watu wameumbwa kuwaombea wenzao mabaya.
 
Back
Top Bottom