First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

#Kikoozi
Kama we hukupata Bahati acha kukatisha madogo tamaa acha kabsa haifai hata kidogo,hujui purpose yao kwa Mungu.We kma huna Bahati kaa pembeni.

Hongeren sana wadogo zangu asitokee mtu kukushaul ujinga hyo koz uliyopangiwa ndio ndoto zako zilipo huwez jua keep on touch guys uckate tamaa ila pia dunian kuna watu wameumbwa kuwaombea wenzao mabaya.

Huyu kikooz ni hovyo kabisa, yaani kila koz yeye anaponda tuu, unaweza kuta hata sio Mtz.
Kuna watu hawajitambui kabisa humu Jf.
 
Huyu kikooz ni hovyo kabisa, yaani kila koz yeye anaponda tuu, unaweza kuta hata sio Mtz.
Kuna watu hawajitambui kabisa humu Jf.

Hana lolote
Shule Hana asiwasumbue kabsa
 
Nimechagulowa collage of earth science..GEOLOGY..
KUNA GROUP LA WATSAP FIRST YR UDOM NA WA MIAKA MIAKA MINGNE WANAKARBISHWA..WEKA NAMBA YAKO MI NTAKUUNGNISHA
WALE WA BATA TUJIANDAE

Kijana COES panahitaji kusoma kwa uwezo wako wote, hivyo usijisahau sana kwenye izo bata zako. BTW karibu udom.
 
education course zake ni priority mkuu so wory not utapata tu mkopo mwenyee nasoma hiyo course
Karibu udom
 
Course za ualimu mkopo wanatoa ndugu so just come down mkopo utapewa tu
 
#Kikoozi
Kama we hukupata Bahati acha kukatisha madogo tamaa acha kabsa haifai hata kidogo,hujui purpose yao kwa Mungu.We kma huna Bahati kaa pembeni.

Hongeren sana wadogo zangu asitokee mtu kukushaul ujinga hyo koz uliyopangiwa ndio ndoto zako zilipo huwez jua keep on touch guys uckate tamaa ila pia dunian kuna watu wameumbwa kuwaombea wenzao mabaya.

kweli kabisa, kuna wengine humu ndani hata hawahusiani bt kuleta usenge tyuuuuuuuu
 
Jamn wale wa special diploma in science and mathematics admission letter lini jaman
 
Back
Top Bottom