First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

hatuta tembelea na wala hatutaki maelekezo ya aina yoyote ile tumeshaamua kwa pamoja hatutasoma chuo cha kata never

kweli IQ za watu ndogo,hasa ya ww 'kiko',udom n chuo cha kata ipi?na ebu jiulize kwa nn jwtz waliona wataalamu wa computer wamezalishwa udom kwa ajil ya cyber security,na kuona vyuo unavyoona c vya kata hamna k2,wakaja udom kuchukua watu ,100,bado hujtambui,hongeren mlioenda udom,uktaka kujua uwezo wa udom ulza TRA mbeya,
 
Nimechagulowa collage of earth science..GEOLOGY..
KUNA GROUP LA WATSAP FIRST YR UDOM NA WA MIAKA MIAKA MINGNE WANAKARBISHWA..WEKA NAMBA YAKO MI NTAKUUNGNISHA
WALE WA BATA TUJIANDAE
karibu Xana COES ukifka ntafute 0763544425/0658819426
 
welcome at the home of planners, it is called Project Planning, Management and Community Development (PPM&CD) im a second yrs student parsue that program

Mkuu naomba nikufuate pm kama hutojali
 
Nimechagulowa collage of earth science..GEOLOGY..
KUNA GROUP LA WATSAP FIRST YR UDOM NA WA MIAKA MIAKA MINGNE WANAKARBISHWA..WEKA NAMBA YAKO MI NTAKUUNGNISHA
WALE WA BATA TUJIANDAE

niko udom mwaka wa tatu mineral processing. niadd kwa hilo group 0755566334
 
Hao wanaosema chuo cha kata have hajielewi..msomi awez kuargue bila evidence means analopoka...sisi tuloosoma hapo ndo tunajua..nmemaliza hapo mwaka Jana...bacherol ya literature in English...haikua rahc,msuri wa hapo c mchezo..nlipata GPA yangu nzuri now npo udsm kama tutorial assistance huku nachukua masters yangu..na ndo nmeona was Tz tumebase sana kwny majina na ukongwe ya chuo bila kuangalia quality ya elimu mama naadmit kwamba msuri nliosoma udom c sawa na udsm..udom pagumu zaid ....cjui maybe kwakua hii Ni MA na ile Ni bacherol...acetaja akatae lkn mi ndo nshasema na naongea kwa experience..anaebisha aje na vivid example
 
Nimeshindwa kuhighlight but nimegundua haya maneno

Umesema wewe ni tutorial assistance

Bacherol

Msuri

Ufafanuzi please bwana T.A
 
Nimeshindwa kuhighlight but nimegundua haya maneno
Utaelewa mwakani ...
Umesema wewe ni tutorial assistance

Bacherol

Msuri

Ufafanuzi please bwanav T.A

Utaelewa mwakan, au ukiona hvyo haikuhusu mana lugha nliotumia rahc mno..wale wanaodai udom chuo cha kata wameñielewa
 
kweli IQ za watu ndogo,hasa ya ww 'kiko',udom n chuo cha kata ipi?na ebu jiulize kwa nn jwtz waliona wataalamu wa computer wamezalishwa udom kwa ajil ya cyber security,na kuona vyuo unavyoona c vya kata hamna k2,wakaja udom kuchukua watu ,100,bado hujtambui,hongeren mlioenda udom,uktaka kujua uwezo wa udom ulza TRA mbeya,

Watanzania walio wengi ni watu wa kukariri maneno kama kasuku akisikia shule za kata hazifaulishi anabeba na kutamka vivyo hivyo maisha yake yote, huyu jamaa nae kasikia watu wakisema UDOM chuo cha kata kabeba kama ilivyo.
Actually UDOM is a university like any other university in the world. So anyone regarding it as "chuo cha kata" has his/her own concern.
Chuo ni kizuri kinazalisha wataalam wazuri kwa sekta na idara mbalimbali.
Karibuni sana kama umechaguliwa UDOM utapata elimu nzuri kama yalivyo matarajio yako sawa na ungesoma chuo kingine chochote duniani.
 
Hao wanaosema chuo cha kata have hajielewi..msomi awez kuargue bila evidence means analopoka...sisi tuloosoma hapo ndo tunajua..nmemaliza hapo mwaka Jana...bacherol ya literature in English...haikua rahc,msuri wa hapo c mchezo..nlipata GPA yangu nzuri now npo udsm kama tutorial assistance huku nachukua masters yangu..na ndo nmeona was Tz tumebase sana kwny majina na ukongwe ya chuo bila kuangalia quality ya elimu mama naadmit kwamba msuri nliosoma udom c sawa na udsm..udom pagumu zaid ....cjui maybe kwakua hii Ni MA na ile Ni bacherol...acetaja akatae lkn mi ndo nshasema na naongea kwa experience..anaebisha aje na vivid example

Haya ndo matunda ya UDOM, bravo dear friend
 
Back
Top Bottom