First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa


Samahani mheshimiwa hiyo DAWA haihusiani na mambo ya ushirikina?
 
Unataka mabadiliko - unayoyahubiri kutoka kwenye "kiti" chako cha baa unayoenda kila siku unapotoka kazini, unawahubiria watu wale wale unaokutana nao kila siku, tena unajisifu unaipenda baa hii wanakujua unakunywa kwa ku-saini

Unataka mabadiliko - wewe unayeenda kunywa baa ya makaburini baada ya kumzika rafiki yako aliyekufa kwa ajali iliyosababishwa na ulevi

Unataka mabadiliko - baba hujui hata mwandiko wa mtoto wako unafananaje, hushiriki malezi ya mtoto wako ukitegemea kuna ‘App’ itakayokufanyia hilo

Unataka mabadiliko - baba unayerudi nyumbani usiku wa manane kila siku, ukiingia nyumbani lazima uanzishe ugomvi

Unataka mabadiliko – mzazi hushiriki vikao vya shule

Unataka mabadiliko - jina la jirani yako nyumba ya pili hulijui

Unataka mabadiliko – hushiriki vikao vya maendeleo ya mtaa wako

Unataka mabadiliko - unapoona watoto/vijana mtaani kwako kwenye vijiwe vya bangi/madawa ya kulevya unapandisha na vioo vya gari yako kwa sababu hawakuhusu

Unataka mabadiliko - unaruka kukwepa maji yanayotoka kwenye bomba lililopasuka barabarani, huendi kuripoti popote kwa sababu sio 'inshu' yako

Unataka mabadiliko – unatoka nyumbani kwako na takataka kwenda kuzirusha barabarani au mtaroni mtaa wa pili

Unataka mabadiliko – unapomaliza kula ‘ashikirimu’ yako ya azam, korosho zako za barabarani unarusha karatasi bila hata kuangalia inaenda kuangukia wapi

Unataka mabadiliko – hujitumi zaidi ya, huwezi kufanya zaidi ya kile ulichojiandikia kuwa ndio kazi yako, huwezi kujitolea kumsaidia mwingine awe mfanisi katika kazi yake, huangalii ufanyeje kazi kwa ufanisi kufanikisha malengo yako ili ufanisi wako na mafanikio yako yawe chachu ya mafanikio ya mfanyakazi mwenzako au wenzako waliokuzunguka, huwezi kujitoa kwa sababu sio kazi yako

Unataka mabadiliko – huwezi kumshirikisha mwingine wazo lako kwa sababu yeye akilijua ataonekana bora kuliko wewe au atalifanyia kazi na kukupiga bao

Unataka mabadiliko - hujafikiria kujiwekea hata dakika ishirini kwa siku kufanya mazoezi

Unataka mabadiliko – hukumbuki mara ya mwisho lini umechukua kitabu chochote kujisomea au kujifunza kitu kipya

Unataka mabadiliko? Anza Wewe kubadilika Leo. Usisubiri Oktoba 25. #MabadilikoSioMiujiza
 
Kupata test kulog in kama umechaguliwa udom SDE ikikubali pakua admission letter then isome utapata kila kitu

hyo nmeipata imekuja na jina langu sasa upande wa tuition fees pana nichanganya cjuwi nalipia cluster namba ngap? na0mba kujuzwa
 
Hivi udom ni lini hasaaaa watatoa 2nd batch wanatuchosha mno na tym ndo hivyo inasonga #wanaboa mnooooooooooooooooooooo
 
kwa wale ambao tulikua tumesubilia admission letter za udom special diploma tiari zemesha wekwa kwenye website ya chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…