First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

Nimeona humu ndan watu wakxema mpak ku login ndo ucheck admxxn leta...ufafanuz pls!!


Go to UDOM WEB, halafu tafuta kitu kama "Admission Letters Issuing System (ALIS)". Then login kama ivi.. Username ni your form 4 index no. like S1700/0111/2011, mfano, halafu password ni your surname in capital latters, say SULEIMAN, kwa mfano.. and then that's all.. there kuna vi-info vya kuedit kuhusu profile yako, like Birth date & place, yo contacts and stuff. Then una-download izo pdf files for printing.. U done! Kama kuna mahali hujanisoma fresh be free to let me know 🙂
 
HIV 2nd batch udom watatoa lini maana wanatatza wa2 kinyama
 
OYoo.. this z for all kakaz and Dadaz mnao enda kua firsrt yr UDOM 2015/2016, TUpIa namba ako hapa ya whatsaap kuunganishwa direct kwenye group, na piiia wale 2nd n 3rd yr mnakaribishwa sana kwa Group.
 
naomba kuulza wadau, kuhusiana na koz zenye priolity na ambazo hazna priolity ,je kwa mtu alie omba coz ambayo co priolity anaweza pata mkopo, mana kwenye ktabu cha tcu coz ya education in art co priolity je kwa cc ambao tumeomba hh coz twaweza pata mkopo? kwa mwenye uelewa msaada tafazal
 
naomba kuuliza sisi tuliochaguliwa specia diploma in education science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B tuition fees tunalipia namba ngap kwa sisi kama sisi?

manake sielew msaada pleas tuwekane sawa wapendwa
 
naomba kuuliza sisi tuliochaguliwa specia diploma in education science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B tuition fees tunalipia namba ngap kwa sisi kama sisi?

manake sielew msaada pleas tuwekane sawa wapendwa

Tuition fees ime be covered kweny mkopo tutakaopewa
 
Kama haukuomba mkopo je mana heslb walisema watatoa utaratibu mpaka leo hawajatoa hapo inakuaje naomba unielekeze ndugu yangu
 
sasa mbona wamesema inatakwa kulipwa kabla hujaripoti chuoni hapo je inakuaje me sielewi naombeni msaada wenu

af kingine izo admssion leter zina wahusu wanafunzi w0te wanaojiunga na chuo hich0 hata wale waliomaliza kidato cha nne waliokosa nafasi ya kujiunga na kidato cha tano wakapangiwa kujiunga na specia diploma in education science and mathematics

msaada wenu
 
wakuu hv joining instruction zimetoka kwa sisi special diploma wa udom?
 
Hapo unaangalia bodi wanakulipa ada kiasi gani then unakokotoa ada itakayobaki ndio unatakiwa kulipa kabla hujaingia chuo,kiasi cha ada utakacholipiwa NA bodi wakati unaenda Fanya usajili UDOM ndio bodi itakulipia hapo kiasi cha ada wanachokukopesha wao,pia bum utasaini hapo hapo wakati wa usajili
 
Kuhusu suala LA hostel wala msiwaze ,hostel zipo za kumwaga NA magorofa mengine hayana watu kabisa ,KARIBUNI aiseeee ,Mimi nipo UDOM social science mwaka wa Tatu,,,, KARIBUNI sana THE WHITE UNIVERSITY
 
Ukifika DODOMA MJINI kuna stend ipo inaitwa jamatini pale magari ya kwenda UDOM yapo kwa bei ya 400-500 ,usiingizwe mtegoni na bodaboda au taxi watakulamba 10000-15000 hadi UDOM,,, maana UDOM ndio chuo kilichombali NA MJINI...kuwa makini ufikapo mjini...Mimi nipo Dodoma kama una maswali yoyote au msaada uliza,,,
 
Back
Top Bottom