Acha ujinga...Ndo coz ya ndoto yake....We umetaga nn mkuu?.Mbona unawa-disencourage watu?.
Nimeona humu ndan watu wakxema mpak ku login ndo ucheck admxxn leta...ufafanuz pls!!
Sasa ali tunazjaza vp man
naomba kuuliza sisi tuliochaguliwa specia diploma in education science and mathematics kwenye admssion letter kwenye ile form ya malipo kipengele B tuition fees tunalipia namba ngap kwa sisi kama sisi?
manake sielew msaada pleas tuwekane sawa wapendwa
wakuu hv joining instruction zimetoka kwa sisi special diploma wa udom?
OYoo.. this z for all kakaz and Dadaz mnao enda kua firsrt yr UDOM 2015/2016, TUpIa namba ako hapa ya whatsaap kuunganishwa direct kwenye group, na piiia wale 2nd n 3rd yr mnakaribishwa sana kwa Group.