PostGE2025 Firstpost: Makanisa na mashirika ya misaada yapaza sauti kuhusu vurugu na mauaji yaliyotokea kwenye Uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Heko Firstpost and shame on our local media.

Tasnia ya uandishi wa habari imekufa Tanzania.

Hatuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari sisi.

Habari hii watu tunaipata kupitia vyombo vya habari vya nje.

Hivi vyetu vya ndani vinamwogopa Haramu Samuya.

We are not going to let up.

View: https://youtu.be/gXfVERA2jaA?si=ejtAXk2MYIV0cyEc

Aibu kubwa. Kazi ya news houses zetu imebaki kuwa matangazo ya biashara na kusifia watawala dhalimu!
 
Attachments

  • 20251111_193100.jpg
    20251111_193100.jpg
    123 KB · Views: 31
Kwani w ulifikiri kuwa kuna vyombo vya habari tanyania
 
Heko Firstpost and shame on our local media.

Tasnia ya uandishi wa habari imekufa Tanzania.

Hatuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari sisi.

Habari hii watu tunaipata kupitia vyombo vya habari vya nje.

Hivi vyetu vya ndani vinamwogopa Haramu Samuya.

We are not going to let up.

View: https://youtu.be/gXfVERA2jaA?si=ejtAXk2MYIV0cyEc

Keyboard warrior njoo Tanzania ufungue chombo chako cha habari.
 
Samuya ni dhaifu sana ndio maana akafanyiwa mpango asipate mpinzani wa maana kwenye uchafuzi mkuu, hata hivyo bado wananchi wengi wakamsusia kwa kutotoka kwenda kupiga kura!

Kuthibitisha uwezo mdg wa akili ya samuya tume ikamdanganya eti kapigiwa kura na jumla ya watu ml 32 naye akakenua meno ka zuzu kufurahi hahahhaaa
 
Hahahahaha hatari sana
 
Hahahahaha hatari sana
Kabisa mkuu, au eti polisi wanakupa ripoti waandamanaji wametoka sijui wapi kuja kuandamana Tz...na wewe bila tafakuri kwamba inawezekanaje hilo kutokea unatoka kuja kwa public kutuambia watz juu ya ujinga huo!

Polisi hawahawa waliosomea elimu ya mafriji kisha wakawa wataalam wa picha mtandaoni!!.
 
downloadfile-31.jpg
Heko Firstpost and shame on our local media.

Tasnia ya uandishi wa habari imekufa Tanzania.

Hatuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari sisi.

Habari hii watu tunaipata kupitia vyombo vya habari vya nje.

Hivi vyetu vya ndani vinamwogopa Haramu Samuya.

We are not going to let up.

Keyboard warrior njoo Tanzania ufungue chombo chako cha habari.
Keyboard warriors ndiyo waliowezesha maandamano na Vampire Samuya anahaha.

Uko sahihi hatuna Media TZ, hakunaga uchambuzi, na wachambuzi wakiwepo ni machawa kama Ezekiel Kamwaga.

Wanaingia kwenye rekodi kwamba mwaka 202 hawakuripoti chochote kuhusu yalitokea TZ wakati wa uchaguzi hata baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom