Fisadi Kinje Mbona Haongelewi

Fisadi Kinje Mbona Haongelewi

omary kimbau????? Acheni ujinga nyie, yule kamchakaza daddangu, litoto copy right. Alikataa mimba, tumelea wenyewe leo anajidai anakuja kutulamba miguu

kwani mla haliwi kaka?
 
Omy kimbau jamani mbona kawachakaza madem wengi

nakumbuka dem wake mmoja alinyang'anywa na Ntimizi, kisha akaoa jumla jamaa, sijui bifu iliishia wapi! Vijana wa magamba bwana!
 
Macelebrity wa bongo bana!!... kuna dogo mmoja new comer huku NY alitubishia na kuapia kuwa jamaa kamkita Maya!...WTF?
 
Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.

Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.

Sasa kama ulikuwa hujui au huna uhakika unaropokea nini? au ndo kujishaua uonekane unamjua sana? mwone kwanza...OVYOOO!
 
Sasa kama ulikuwa hujui au huna uhakika unaropokea nini? au ndo kujishaua uonekane unamjua sana? mwone kwanza...OVYOOO!

Shika adabu yako na adabu ikushike. Soma vizuri post yangu. Kingunge hana mtoto zaidi ya Kinje, hao wengine wa kulea tu.
 
Oh thats his wife mtoto wa Vickie Max. Beautiful like her mama
 
Wakuu wenye jamvi, hali zenu.

Awali aliwekwa Michuzi na mkewe hapa, akatandikwa madongo ya mambo yake binafsi na mada ikafungwa, ikafutwa.

Huyu mbona mmeacha aanikwe, mnayo policy yeyote ya ku deal na topic kama hizi au mnaenda mzaga mzaga tu?
 
ha ha haaaaaa yaani wewe ulishindwa kuvumilia sio????lol

ule udaku wa the utamu wa kipipi umekukaa mpaka umeuropoka...lol
nimecheka mpaka basi.....lol
mkuu kumbe tulikuwaga wote mahali kule!
 
Hapo ndio naposhindwa kuwaelwa watz.Unaongea utafikiri umefanya utafiti kuhusi hilo.Mbaya zaidi inawezekana unaongea kutokana na urafiki/ujirani/undugu wa mbali ulionao na familia ile ya kingunge.Je mfano wakikwambia hata kinje si mtoto wa Kingunge alichomekewa unalakujibu! .
Acha kuchangia hoja kishabiki tunaokufahamu javini wewe unatusikutisha kwani hoja kama hizi sio kiwango chako,unajishusha sana, umenisikitisha sana sikutegemea kukuona na wewe ukishupalia hoja kama hizi.Ya ngoswe mwachie ngoswe..Nenda kwenye hoja ya msingi .Mtazamo
Shika adabu yako na adabu ikushike. Soma vizuri post yangu. Kingunge hana mtoto zaidi ya Kinje, hao wengine wa kulea tu.
 
ha ha haaaaaa yaani wewe ulishindwa kuvumilia sio????lol

ule udaku wa the utamu wa kipipi umekukaa mpaka umeuropoka...lol
nimecheka mpaka basi.....lol

Naskia ze uchungu imerudi tena
 
Na wewe kaibe kama rahisi. Huo ni usongo wenu tu, kila mwenye nacho kisha kuwa mwizi? nipishe huko. Ndio maana hamuendelei kwa ujinga wenu.

Maendeleo nini na ujinga nini ff?
 
Labda ungesema babake, tungesikilizana, hiki kirafiki cha wanangu? unanchekesha!

Nilikuwa natafuta jibu sasa nimeshalipata, uko mbali sasa na ukweli kuhusu maendeleo na hata jinsi ya kuutokomeza umaskini.....
 
Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.

Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.

Shear+cover.jpg
 
Wakuu wenye jamvi, hali zenu.

Awali aliwekwa Michuzi na mkewe hapa, akatandikwa madongo ya mambo yake binafsi na mada ikafungwa, ikafutwa.

Huyu mbona mmeacha aanikwe, mnayo policy yeyote ya ku deal na topic kama hizi au mnaenda mzaga mzaga tu?

sema na wewe...
kinje,mange kimambi na nsia swai hata wadhalilishwaje humu JF mods hawashtuki,wengine ndio wanakuwa protected
 
Back
Top Bottom