Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU


...Una pointi hapo. Kwa mfano ningependa kufahamu Askari waliokuwa hapo geti kuu walijaribu kumuelekeza mheshimiwa sana Tanil akapitishie kigari chake geti la uani?? Aliwajibu nini? Nani alikuja ama alitoa maagizo aachiwe atumie geti hilo hilo? Sometimes hata sisi wadanganyika wenyewe tunakuwa waoga wa kutekeleza majukumu yetu kiasi kwamba wakalamba kama hawa wanatuchezea watakavyo. Kwa mfano jukumu kubwa tunalotakiwa kuwa nalo hivi sasa ni kutafuta na kufundisha Snipers....!

 
Unaweza ukatamani kujilipua


Why Die without a cause? at least siku ukiamua kweli kujilipua kafanye hivyo mbele ya mheshimiwa sana Tanil uondoke naye and there will be one less fisadi in our Country na tutakukumbuka kwa hilo.
 
Haki ya mama,Kambarage akifufuka leo lazima afe tena ghafla kwa mshtuko wa moyo.
 
Kuna Tetesi nimezipata kua hata Mashost wa mama Salima Kikwete waliopo pale Wizara ya Elimu wakiboreka na kazi wakati wa mchana wanaenda kupiga story na Shost mwenzao Ikulu wanagonga na msosi then wanarudi kuendelea na Kazi. Ikulu yetu imeshuka thamani kabisa hata mwendesha baiskeli akijisikia tu anaingia ikulu kumpa hi president then anaendelea na ishu zake
 
Hii ni story ya kutungwa.
Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.

Mafisadi wakubwa' hata EPA na Rada mlikataa. Uliona wapi? mwizi akikubali kwamba yeye ni mwizi,umetumwa na Zoka?
 
I have never visited jf and sign out happiful,wakati wote natoka nimeshkwa na hasira...arrh!
 
Wajameni, hapa sasa tunazidi, mnamaind ferari kupaki mbele ya Ikulu!, wakati Tanzania nzima ferari ziko 2 tuu, hivyo ilipaki pale ili kuongezea mapambo na kuikweli inapendeza!.

Rafiki wa kweli ni yule akufaaye wakati wa dhiki, kama Tanil, alijitolea Milioni 400 kufadhili uchaguzi mkuu wa UV-CCM, unaweza kukisia ametoa kiasi gani kuifadhili CCM?. Ni mabilioni na huyu ndie rafiki wa kweli, what is wrong akipaki gari lake mbele ya nyumba ya rafiki yake?.

Wajameni, tuacheni chuki dhidi ya wenye nazo, kuwachukia matajiri kwa utajiri wao... (haijalishi wameupataje kwa sababu Tanzania ni nchi ya 'the end justify the means')...pia ni umasikini wa roho!.
 
....lakini ustaarabu haukamiliki mpaka ufike kwa watu wa pwani, wewe uko wapi sasa na unatoka bara ya wapi?

mi sishangai koz nchi hii inaendeshwa na matajiri,ndio mana unajiuliza watu wana scandal lakin wanaish very comfortable. Mtu kama JK,ana jeur gani ya kumfokea mtu kama huyo.
 
I have never visited jf and sign out happiful,wakati wote natoka nimeshkwa na hasira...arrh!

unakimbilia jukwaa la si-hasa ndio maana unatoka umenuna.
Ukitoka hapa pitia jukwaa la wakubwa ukajipoze.
 
Wakati watanzania hata hatuna habari na kesi iliyo endelea LONDON leo wazungu wameamua kubeba mabongo kutusemeea juu ya huu wizi!
Check attachments!!!!!!
 

Attachments

  • BEA.JPG
    45 KB · Views: 47
 
 
Somaiya amenunua kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security, nadhani anafanya warm up ya kuinunua Jeshi la wanachi wa Tanzania pamoja na Polisi.
By few years to come, huyu mtu atakuwa hakamatiki.
atakamatika kwa nguvu ya wananchi
 
Hatari hii, dawa yake ni 2015 , ila kufikia huko maumivu yatakuwa hayabebeki due to "HYPER INFLATION"
 
Namkumbuka sana Field Marshall Idd Amin Dada, MUNGU amrehemu, apumzike kwa amani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…