Re: Fisadi wa rada Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU
Mtu ukisema watu wa pwani hawajui ethics za uongozi unaambiwa mdini au una wivu wa kike. Kwa ufupi ni Ikulu mfukoni!
Wakati wa Mzee ruksa watu walikuwa wanaingia Ikulu na kumwita mke wake shemeji na kuuliza kama chai tayari. Enzi za mkwere ndiyo usiseme. Ukiwa na pesa ikulu ni kwako na unashiriki kupanga baraza la mawaziri na teuzi mbalimbali za kitaifa!
Hii nimeipenda. Hivi kuingia kwenye club ya marafiki wa ikulu unatakiwa mtaji wa sh ngapi?