Fisadikuu, where you at my hommie?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Kwako braza FisadiKuu
Jukwaani umeadimika sana, pia hata pale kwenye kilinge chetu cha FIRE siku hizi hauji kabisa.
Nashindwa kujua nini kimekukuta, hebu jitokeze bwana kijana wako MALCOM naona sitaki kukuita hapa kinguvu kwa kufukua makaburi. Mimi nakukumbuka sana pia vijana wako wa BAVICHA wanakukumbuka sana: Tafadhari fanya hima kurejea hapa jukwaani pindi utakapopata barua hii.

Dada zako espy na Heaven Sent wanakusalimu sana!
Mimi kijana wako MALII!

Peace out hommie !!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wassup big fella.. hahahaha Mali mi nipo ni majukumu tu ya mwisho wa mwaka yalinizidi..

Sasahivi namalizia kuhesabiwa huku mgombani soon mtaniona nimekuja full kwenye vilinge vyetu..

Pass my warmly greetings to my sisters Heaven Sent and espy.. Peace out bruv
 
Bado tu unahesabiwa?
 
Mods walivyoona nimekualika mbuzi Machame wakaamua kunipa ban ili tu lengo letu zuri na la kidugu lisitimie..

Naona aliyeshika makali hapo ni mkali kweli kweli.. Happy new year dada yangu
Yaani nilimind acha kabisa, nikakosa mualiko hivi hivi nikaishia kupiga mwayo tu, huyo mod na alaaniwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…