MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Kwako braza FisadiKuu
Jukwaani umeadimika sana, pia hata pale kwenye kilinge chetu cha FIRE siku hizi hauji kabisa.
Nashindwa kujua nini kimekukuta, hebu jitokeze bwana kijana wako MALCOM naona sitaki kukuita hapa kinguvu kwa kufukua makaburi. Mimi nakukumbuka sana pia vijana wako wa BAVICHA wanakukumbuka sana: Tafadhari fanya hima kurejea hapa jukwaani pindi utakapopata barua hii.
Dada zako espy na Heaven Sent wanakusalimu sana!
Mimi kijana wako MALII!
Peace out hommie !!!
😀😀😀😀😀😀😀