Naungana na mdau kwamba Mbu hawazaliani kwenye maji yenye mwendo,maana mie ninalo kubwa kama la Mita Mbili la ndani inhouse Aquarium.
Ile Pump ndio inayosaidia hilo la mbu kutoweza kufanya makazi.
Pia Kunguru ujanja wote ni waoga sana kwa vitu vyenye kucheza,hawezi kuchupia kwenye maji hayo.
Na wengine huweka sanamu la Mwenye mkubwa au Eagle basi jamaa wanasepa
Kuna matatizo ambayo hupata samaki hufikia samaki kufa kabisa leo jifunze jinsi ya save maisha ya samaki wako,kuna dawa inaitwa hydrogen peroxide.
Video hapo chini jinsi ya ku treat fish, ni very helpful. How To: Hydrogen Peroxide Swab for Goldfish I: http://youtu.be/Rj4D2JwRIxQ
Hydrogen peroxide inatumika pia ku save life plant ambazo zime infection kutokana na bacteria, unataka kufahamu zaidi how to treat? Bonga hapa How to Treat Blue-Green Algae with Hydrogen-perox : http://youtu.be/VMInjM0d9OE