GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
- Thread starter
- #21
Naungana na mdau kwamba Mbu hawazaliani kwenye maji yenye mwendo,maana mie ninalo kubwa kama la Mita Mbili la ndani inhouse Aquarium.
Ile Pump ndio inayosaidia hilo la mbu kutoweza kufanya makazi.
Pia Kunguru ujanja wote ni waoga sana kwa vitu vyenye kucheza,hawezi kuchupia kwenye maji hayo.
Na wengine huweka sanamu la Mwenye mkubwa au Eagle basi jamaa wanasepa
Hio filter ina chuja hadi yai la mbu.