Fishes & Marine life special thread.

Pufferfish:- samaki wa maji chumvi
- wastani wa maisha: miaka 10
-Chakula:- Algae na wadudu wadogo
- Defense mekanism: anajiongeza mwili kwa kumeza maji mengi kwa kadri awezavyo ikiwezekana hata hewa inapomlazimu.
 
Nadhani ni sehemu ya uumbaji tu. Alafu kwenye maji ni baridi so viumbe wengi wa majini wanakua taratibu kuliko wa ardhini + chakula huko majini ni kingi sana ukilinganisha na huku ardhi.
Ni kweli, movement kwenye maji ni rahisi kuliko nchi kavu.
 
TAMBUA:

- Sauti inasafiri kwa kasi sana ndani ya maji kuliko nchi kavu. Inakadiriwa kufikia mwendo wa 1,4300 m/s.

- 99% ya viumbe hai vyote duniani vinapatikana ndani ya vyanzo vya maji; maziwa, mito, bahari n.k.
 

MAUNA KEA: huu ndio mlima mrefu kuliko yote duniani. Mlima huu umeanzia chini kabisa ya kina cha bahari na kutengeneza aina ya kisiwa.

Mlima huu ni wakivolcano unapatikana huko hawaii kama moja ya visiwa vyake. Urefu wake ni Mita 10,200 toka kitako cha bahari huku EVEREST ukiwa na Mita 8,648 toka usawa wa bahari.
 
Tunapokuja kwenye sekta ya urembo; Clownfish anashikilia nafasi ya kwanza kwa urembo duniani kutokana na rangi yake iliyotulia machoni
.
Hii ni kulingana na kura zilizopigwa na watu mbalimbali duniani.

 
Upendo unapatikana kwa samaki? Ndio kama walivyo viumbe wengine, nao huvutiwa na wenza wao. Mapenzi ni swala mtambuka.
Aaah...Inapendeza sana......
 
BLOBFISH: Sijajua kwa nini?? Lakini imeonekana kuchukiwa sana na baadhi wa watu.

Blobfish anashikilia nafasi ya 1 kati ya samaki wabaya duniani.

Sorry blob......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…