Fishes & Marine life special thread.

Fishes & Marine life special thread.

Hawa wanangu huwa hawana haraka na maisha yao kabisa😁😁 pia ni mafundi kwenye swala zima la upendo wa kweli
images (28).jpeg
 
images (33).jpeg

Viumbe unicorn pekee waliobaki katika ukanda wa bahari. Wanakaa deep water huko na kipindi barafu zinapo yeyoka kuko south pole wanaenda mapumzikoni huko
 
Back
Top Bottom