Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupandishie sea cucumber aka jongoo
Ova
Oar fishHuyu ni Samaki gani?
Kuna jongoo nao aina nyingi
Star fish....shelves zake ni biashara
Sijawi kujua kama kuna watu wanakula huyu samakiYou see mr OP. Huwezi kuwa unaweka picha bila hata maelezo yoyote. Thread haitakuwa nzuri kwa style hiyo.
Anyways, napenda sana Angler Fish, especially kwenye issue ya reproduction.
Itakuwa idadi yao ilileta tishio la kuja kutoweka baadaeKuna jongoo nao aina nyingi
Kuna barango, spinyo,jongoo maji etc
Hawa wana hela sana ukiwapata sema kuna kipindi fulani upatikanaji wao ulikuwa shida na serikali ilizuia uvuvi wake
Ova
Ndiyo hivyoItakuwa idadi yao ilileta tishio la kuja kutoweka baadae
L
Utotoni nilifuga sana samaki hawa wa mapambo