Remora: samaki huyu anaishi kwa utegemezi wa samaki wengine. Ila si tu kwa sababu yeye ni kama parasite kwa host basi hana faida, hapana. Host nae anafaidika kwa uwepo wa huyu parasite mwilini mwake. Hivyo, huishi pamoja bila mtafaruku.
View attachment 2120940View attachment 2120941