Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo samaki wenzie hawawezi mla?Remora: samaki huyu anaishi kwa utegemezi wa samaki wengine. Ila si tu kwa sababu yeye ni kama parasite kwa host basi hana faida, hapana. Host nae anafaidika kwa uwepo wa huyu parasite mwilini mwake. Hivyo, huishi pamoja bila mtafaruku.View attachment 2120940View attachment 2120941
Hii ni konokono au??
Kikawaida remora hujiweka kwa samaki wakubwa kama papa na nyangumi ambao kidogo ni hatari kwa jamii nyingine za samaki. Hivyo, ni ngumu kuliwa na wengine.Hapo samaki wenzie hawawezi mla?
Ndio mkuu ila wa bahariniHii ni konokono au??