Ha ha sawa mkuuJamaa bado anafukizia mikopo ya chuo
Ha ha ha daah! Sasa huyo kama ananguvu zote hizo kwanini anashinda akila mizoga badala ya kutafuta fresh meet kwa kutumia muguvu alionayo?Aisee unauliza makof polis
Fisi ana nguvu sana ana weza hata kubeba kondoo watatu
Yap itabid serikali iliangalie hili kwa marefu na mapana ili huu usafir utumiwe na watu woteDaah! Aisee itabidi hata bungeni litolewe mswada ikibidi lipitishwe tu.
Sasa tuna angaika sana usafiri wananchi wakipato cha chini hatuwezi kununua gari wala baiskel
Mi huo usafiri siutaki hata kidogo[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Usafili upo tu mkuu hata kama wewe unaitaji njoo tu pm
Ikibidi zile prado vx na ma-land cruiser ya wabunge wapewe raia kisha wabunge watumie usafiri wa fisi......hii itapunguza gharama za mafuta na kusave bajeti ya taifa kwa ujumla na tanzania kuwa ya viwanda(fisi factors)Yap itabid serikali iliangalie hili kwa marefu na mapana ili huu usafir utumiwe na watu wote
Utakuta ndo yupo safarini now[emoji12] [emoji23]Nyie mnadhan anatania...
Kumbe yuko siriaz
Sio kwamba yuko ziarani n mukulu.Jamaa bado anafukizia mikopo ya chuo
Vyuma vimekaza hadi watu wakiangalia mawingu wanahisi sahani ya ubwabwaNaona kadili siku zinavyo enda kasi ndo tunazidi kuleta ubunifu
Hongera kwa ubunifu na kuwashirikisha wengine
Sasa si atumike kulima mashamba badala ya ng'omberafiki fisi ananguvu kuliko kawaida,kama kunamyama kajaliwa nguvu ni fisi