Fisi ni usafiri salama sana elewa namna ya kuongeza mwendo na kupunguza pia brek zilipo

Fisi ni usafiri salama sana elewa namna ya kuongeza mwendo na kupunguza pia brek zilipo

Aisee unauliza makof polis

Fisi ana nguvu sana ana weza hata kubeba kondoo watatu
Ha ha ha daah! Sasa huyo kama ananguvu zote hizo kwanini anashinda akila mizoga badala ya kutafuta fresh meet kwa kutumia muguvu alionayo?
 
Daah! Aisee itabidi hata bungeni litolewe mswada ikibidi lipitishwe tu.

Sasa tuna angaika sana usafiri wananchi wakipato cha chini hatuwezi kununua gari wala baiskel
Yap itabid serikali iliangalie hili kwa marefu na mapana ili huu usafir utumiwe na watu wote
 
Yap itabid serikali iliangalie hili kwa marefu na mapana ili huu usafir utumiwe na watu wote
Ikibidi zile prado vx na ma-land cruiser ya wabunge wapewe raia kisha wabunge watumie usafiri wa fisi......hii itapunguza gharama za mafuta na kusave bajeti ya taifa kwa ujumla na tanzania kuwa ya viwanda(fisi factors)
 
FISI: Namkubali sana. Nilishawahi Mtihani Chuo kwa kumtumia Fisi! Ukibahatika upate Fisi mjane! Safi sana!
 
Vipi walishaanza kugawa zile BALIMI nane za makinikia?????./ maana naona watu wanalewa tu.
 
Kwa hapo sina swali serikali itupie jicho la pili huu usafiri uwe mwendokasi kwa watu wa mikoani
 
Niulize kidgo kwenye ukataji wa kona, mana umesema unampigapiga kichwani, sasa atajuaje kama ni kushoto au kulia?
 
kweli fisi ni wzr sn kwa usafir....Tena ukipata Fisi Bikra ndo wazuri sana...wana speed km jet
 
Back
Top Bottom