Mpira ni biasharaNa hili litazidi kuweka hatari ya kupokonywa Mayele wetu na wenye mapesa eh mungu epusha hili lisitokee
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Itunze hiiHaitakuja kutokea Never everrrr 100%
Mayele anawatesa sana wallah..!!! Yaani kule kutetema kwake kwenu bora afunge yeyote lakini si Mayele..!! Halafu mnaumia akiifunga timu yoyote, achia mbali makoloHapo yanga wasivo na akili wamefurahia uzi wako