kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Fiston Mayele akiwafunga hawa Al Hilal goli zaidi ya moja inawezekana akawa mchezaji anaye ogopwa zaidi Afrika.
Na inawezekana akawa mchezaji wa kwanza wa Afrika kutangazwa na vyombo vya habari vya nje ya Afrika tena kwa kumsifia saana
Unajua Fiston Mayele ni mchezaji mwenye nyota ya hatari saana ya umaarufu sio kwamba Fiston Mayele ni namba 9 bora zaidi Tanzania bali Fiston Mayele ana nyota moja ya ajabu.
Hizi hapa ni baadhi ya comment za mashabiki wa Al Hilal
Wanaomba Mungu awaepushie na moto wa Fiston Mayele