Fiston Mayele alilalamika sana kuhusu swala la kukamiwa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Na kumbuka mwaka jana alivyo teseka mayele. Alikuwa ana funga magoli kwa wakati mgumu wengine walikuwa wana mkanyaga kwa makusudi kabisa huku mashabiki wa simba wakifurahi sijui george mpole sijui hana uwezo sijui yupo hivi jamaa alipambana sana lakini na amini angekuwa mchezaji mwingine kwa hali ile asingelifikisha hata goli 10.

Wa kwao kakamiwa kidogo tu kapigwa buti la jeje sijui atafanya mwezi mingapi nje yule hahahaha. Usitukane mamba wakati aujavuka bahari.

Mungu amsaidie mchezaji wetu aje kuendelee na majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi hakuna wa kumlinganisha na Fiston lifikiapo swala la kutikisa nyavu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Buti la JEJE.....teh teh teh eeeeeeeeeehhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…