kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Na kumbuka mwaka jana alivyo teseka mayele. Alikuwa ana funga magoli kwa wakati mgumu wengine walikuwa wana mkanyaga kwa makusudi kabisa huku mashabiki wa simba wakifurahi sijui george mpole sijui hana uwezo sijui yupo hivi jamaa alipambana sana lakini na amini angekuwa mchezaji mwingine kwa hali ile asingelifikisha hata goli 10.
Wa kwao kakamiwa kidogo tu kapigwa buti la jeje sijui atafanya mwezi mingapi nje yule hahahaha. Usitukane mamba wakati aujavuka bahari.
Mungu amsaidie mchezaji wetu aje kuendelee na majukumu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app