Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ni misimu kadhaa imepita washambuliaji wengi waliosajiliwa na Yanga wamekuwa wakiikwepa jezi namba tisa kukiwa na imani potofu kuwa jezi hiyo ina mkosi
Kuna nyakati jezi namba 9 ilipachikwa jina la 'jezi ya moto' kutokana na wengi waliyoitumia kushindwa 'kutoboa' katika kikosi cha Yanga
Lakini hali imekuwa tofauti kwa Fiston Kalala Mayele, kwani kwake imekuwa jezi ya bahati
Katika msimu wake wa kwanza na Yanga, Mayele amepata mafanikio ambapo katika michezo 19 ya ligi kuu, amefunga mabao 11 pia akifunga mabao mawili kwenye kombe la FA
Mayele alikuwa na sababu yake kuchukua jezi namba tisa licha ya kusikia visa vya walioitumia jezi hiyo huko nyuma
"Mwanzo nilikuwa navaa jezi namba 10 kutokana na idadi ya watoto tuliozaliwa ndani ya familia, lakini baada ya kuondokewa na dada yangu na kubaki tisa nikaamua kubadili namba ambayo ndio naitumia hadi sasa"

"Mwanzo nilikuwa navaa jezi namba 10 kutokana na idadi ya watoto tuliozaliwa ndani ya familia, lakini ada ya kuondokewa na dada yangu na kubaki tisa nikaamua kubadili namba ambayo ndio naitumia hadi sasa"
"Sina imani na utaratibu uliopita ndani ya Yanga kwamba namba tisa ina mkosi, kwa sababu naamini katika uwezo kwani namba na uwezo haviingiliani. Mbona navaa naanza kikosi cha kwanza na nafunga," alisema Mayele
Hakuna shaka, Mayele atarejesha heshima ya jezi hiyo na hata aakapoondoka, wako wengi watatamani kuitumia..
Credits: ShabikiNamba Moja
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app