Fiston mayele ana nyota kama ya CR7

Fiston mayele ana nyota kama ya CR7

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Una jua tofauti na uwezo wake wa kufunga Fiston mayele ana nyota ya umaarufu. Toka nizaliwe sijawahi kuona au kumsikia mchezaji yeyote kwenye league yetu hii ya Tanzania ambaye alikuja na upepo au alikuwa na upepo ambao fiston mayele amekuja nao kwenye league yetu labda kipindi sijazaliwa welikuwepo sijui, Ila fisto mayele ndiye mchezaji ambaye amefanya league yetu kwasasa kuwa maarufu ndani na nje ya nchi
Najua mtabisha kwasababu ya ushabiki.

Ila ukweli ni hivi fiston mayele ndiye mchezaji ambaye amepostiwa na mitandao mingi ya kijamii ya Afrika kuliko mchezaji yeyote apa inchini na africa kwa jumla.

Fiston mayele amekiki zaidi inchini kuliko ata wasanii wa music na bongo movie. Na kuna mda najiuliza hivi wasanii wapo mbona hawakiki tena kama walivyo kuwa wanakiki mwanzo?kwa watoto wadogo ni
Fiston style

Kwa wazee fiston style

Kwa wamama fiston style

Kila kona inchini ni fiston style

FB_IMG_1663888111558.jpg
FB_IMG_1663888124931.jpg
 
Back
Top Bottom