kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake
Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli
Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele
Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat
Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi
Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana