Fiston Mayele ana nyota ya umaarufu

Fiston Mayele ana nyota ya umaarufu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake

Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli

Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele

Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat

Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi

Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana
 
Mayele Namdai kwenye champion ligue kwa Sasa

Kwenye Ligi ya ndani kwakweli Sina ninachomdai.

Jamaa anajua ball sio aina ya wachezaji wa kuuza Africa yanga wangejipanga waanze kuuza wachezaji ulaya sio kuwauzia maadui wao africa.

Mchezaji Kama Mayere sio wa kumuuza Africa atarudi kukutesa mtumie then Uza Ulaya uko.
 
Tatizo ni hili kwenye hii sentensi yako ...........Hujaimalizia ni Umaarufu wa wapi...? tutakusaidia kumalizia...

'Fiston mayele ana nyota ya umaarufu huko Tandale Kwa mtogole'​

Ukitaka uwaudhi makoloWizard wewe mtaje Mayele, bao tatu alizo wakojolea zimeanza kuzaa matunda ni kutema mate hovyo, kama mama kijacho aliyetelekezwa na mwanaume aliyempa mimba 🤣🤣🤣
 
Unajua kuna mashabiki wa Yanga wengine ni wajinga wajinga hivi tukisema hamna akili wote kasoro kikwete na baba ake manara hivi tutakuwa tunawaonea?
 
labda umaarufu wa buza
Simba mnaumia kweri kweri na bado hadi sasa tunahesabu kwenye mechi tatu ana goli nne..tukianzia kwenye ngao...

Anayejua anajua tu
FM.jpg


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom