Fiston Mayele ana nyota ya umaarufu

Fiston Mayele ana nyota ya umaarufu

Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake

Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli

Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele

Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat

Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi

Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana
Kweli wenye akili Ni wawili tu
 
Jambo gani kubwa alilofanya kubwa?
Ni mchezaji mzuri lakini bado hajafanya jambo la kushangaza ambalo wengi waliopita walifanya kama yeye kwa kiwango chao mfano tambwe kagere wamefunga zaidi ya goli hamsini sasa yeye kitu gani kikubwa alichokifanya sema amekuta Yanga mbovu ndio maana mnaimba sana huo mwimbo angekuja ile Yanga ya kampa kampa tena wala usingesema haya
 
Jambo gani kubwa alilofanya kubwa?
Ni mchezaji mzuri lakini bado hajafanya jambo la kushangaza ambalo wengi waliopita walifanya mfano tambwe kagere wamefunga zaidi ya goli hamsini sasa yeye kitu gani kikubwa alichokifanya sema amekuta Yanga mbovu ndio maana mnaimba sana huo mwimbo angekuja ile Yanga ya kampa kampa tena wala usingesema haya
Ni wivu tu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Amefanya kitu gani kikubwa ambacho tambwe na kagere walishindwa kufanya ? Yaan hata mrisho ngasa alifanya makubwa kufunga magoli mengi caf
Sasa huyo mayele amefanya lipi la ajabu ambalo tuone amefanya makubwa?
Yaani naona watu wanajibu tu pasipo kuelewa hivi ni kikuuliza diamond anaimba mziki gani mzuri zaidi ya hawa wenzake?

Na kwanini yeye ndo msanii mkubwa saana Tanzania zaidi ya wenzake

Ni nyota na mimi na sema mayele yeye hafosi nyota ni kitu ambacho anacho ndani ya mwili wake tu na nyota yake ndo inayo mpelekaa ku shine africa mzima
 
Huna unalojua katika mpira unatoa mfano wa diamond wakati diamond amefanya vitu kila mtu anaona mm nakuuliza mayele amefanya nini kubwa mpaka unasema ameitangaza ligi yetu maelezo yako yanakufunga tuambie jambo kubwa alilofanya ili tuone anaitangaza ligi yetu
 
Wewe ndo uelewi kitu mimi si semi mpira bali na sema nyota
Yaani mimi na wewe tupo tofauti wewe unaongelea mpira mimi na ongelea nyota na kuambia hivi mayele ana nyota ya umaarufu sio kwamba ana uwezo kuliko wengine na sema ana nyota sio kwamba ana force kuwa maarufu naomba unielewe jamaani

Na umaarufu wake ndo una mfanya awe anatajwa na vyombo vya abari vya inch mbali mbali tofauti na wachezaji wengine
 
Mayele ni Zaidi ya wachezaji watatu wa pale Simba.. Yanga wametuacha mbali sana sisi Simba lazima tukubali na kujifunza kwao..
Au nasema uongo ndugu zangu..?
 
Mwenye video ya goli la mayele hata la offside anitumie kuna laki haina kazi nimeipata kwenye sensa maana kelele zimekuwa nyingi.
 
Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake

Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli

Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele

Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat

Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi

Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana
Wa kawaida sana Mayele, Dejan wa Simba ndio ana nyota kali ya umaarufu jamaa hana hata miezi 6 bongo ila jina lake limekuwa Gumzo...
 
Ukitaka uwaudhi makoloWizard wewe mtaje Mayele, bao tatu alizo wakojolea zimeanza kuzaa matunda ni kutema mate hovyo, kama mama kijacho aliyetelekezwa na mwanaume aliyempa mimba 🤣🤣🤣
Tunaenda CAF sasa kule ndio tutajua sasa Mayele anayo hiyo nyota au ni makelele tu🤣 YANGA hamna akili
 
Wa kawaida sana Mayele, Dejan wa Simba ndio ana nyota kali ya umaarufu jamaa hana hata miezi 6 bongo ila jina lake limekuwa Gumzo...
Dejan hana nyota yeyoke kwani anaye vuma ni dejan au wimbo wa mzungu
Kuna tofauti ya wimbo wa mzungu na dejan
 
Jambo gani kubwa alilofanya kubwa?
Ni mchezaji mzuri lakini bado hajafanya jambo la kushangaza ambalo wengi waliopita walifanya kama yeye kwa kiwango chao mfano tambwe kagere wamefunga zaidi ya goli hamsini sasa yeye kitu gani kikubwa alichokifanya sema amekuta Yanga mbovu ndio maana mnaimba sana huo mwimbo angekuja ile Yanga ya kampa kampa tena wala usingesema haya
Kumbe Yanga ni mbovu? Na ndio sababu mayele sio maarufu
 
Huna unalojua katika mpira unatoa mfano wa diamond wakati diamond amefanya vitu kila mtu anaona mm nakuuliza mayele amefanya nini kubwa mpaka unasema ameitangaza ligi yetu maelezo yako yanakufunga tuambie jambo kubwa alilofanya ili tuone anaitangaza ligi yetu
Amepiga piga mkono kofi na kutingisha kifua.
 
Tatizo ni hili kwenye hii sentensi yako ...........Hujaimalizia ni Umaarufu wa wapi...? tutakusaidia kumalizia...

'Fiston mayele ana nyota ya umaarufu huko Tandale Kwa mtogole'​

[emoji28][emoji23]
hizo ndo shabiki za Uto ni kama masufuria tu.
 
Back
Top Bottom